Alikuwa Askofu Mkuu Mstaafu wa nne wa kanisa la Africa Inland, Tanzania, na Askofu wa pili wa Dayosis ya Mwanza.
Alivipiga vita vilivyo vizuri, mwendo aliumaliza, Imani ameilinda; baada ya hayo amewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atampa siku ile
2 Tim 4:7-8